List ya mastaa kumi matajiri Tanzania

 Kwa miaka ya hivi karibuni muziki umekua ukilipa sana kutokana na kuwepo kwa majukwaa mengi ya kuuzia muziki kama vile youtube, spotify, boomplay, audiomack,deezer,apple music, pandora na mengineyo ambayo huwalipa wasanii kutokana na idadi ya streams wanazozipa katika mtandao husika na miongoni mwa mitandao ambayo inawalipa wasanii vizuri zaidi ni mtandao wa spotify ambao unalipa $0.003 kwa stream 1 ambayo ni sawa na $3000 kwa streams million moja (1000000) ambayo kwa hela za kitanzania ni zaidi ya Tsh 7000000 kwaiyo kadrii unavyozidi kupata streams nyingi ndivyo mapato yako yanavyoongezeka . Hapa Tanzania wasanii wetu wamekuwa wakifanya vizuri katika baadhi ya majuukwa ya kuuzia mziki kama youtube na boomplay .kwani mwanmuziki diamond platnumz anashikilia kijiti cha kuwa mfalme wa mtandao wa youtube africa kwasababu anaongoza wasanii wote kwa kuwa na subscribers wengi huku akiwa na subscribers zaidi ya 8000000 

Katika list ya wasanii wenye hela Leo nimekuletea hapo chino 👇👇👇 


Comments